TEMBELEA KILA WAKATI UPATE HABARI ZA KUKUJENGA KIMWILI NA KIROHO PIA, PAMOJA TUNAJENGA MWILI WA KRISTO NA KWA NENO LAKE TUNAISHI MAANA KUISHI KWETU NI KRISTO BALI KUFA KWETU NI FAIDA ASEMA BWANA WA MAJESHI.
Ilikuwa ni baada ya Ibaada ya asubuhi vijana hawa walikuwa na tukio maalumu la kuchukuwa mkanda kwa ajili ya kumbukumbu ya maisha yao na chuo wanachosoma kwa sasa.