Hiki ndicho chuo kikuu Mzumbe kilichoanzishwa miaka ya 1970s kwa lengo la kuwaendeleza watumishi wa serikali lakini kwa sas kimepoteza hadhi hiyo na kuwa kama vyuo vingine vivlivyopo nchini.
Hembu wasikilize vijana hawa wakiwa maeneo ya kilima hewa chuo kikuu Mzumbe- Morogoro.