UTAKASO (SANCTIFICATION).
I.
1Thess 5;23
''Mungu
wa amani mwenyewe awatakase kabisa..
Mara
tunapoamini kwa nguvu ya Roho ka&ka Bwana Yesu Kristo,Hivyo ni kwamba Roho
yake hufanya kazi na roho zetu,kazi hii ya kutuhifadhi ka&ka imani na
kufanya kazi ka& yetu kutulea na kufanya kwa ajili ya ridhaa yake nzuri
huitwa utakasa. Neno takasa kimsingi humaanisha ''kutenga''neno taka&fu
inatokana
naneno
utakaso.Kutengwa kunamaanisha kuwa kuhifadhi kama Kristo ka&ka ulimwengu
huu mwovu.kuwa ka&ka uimwengu lakini si mali ya ulimwengu.
Hakuna
swali kwamba tunapaswa kufanya kufanya matendo mema.Hatuokolewi kwa matendo mema.
(Efeso
2; 8-9) Tumeokolewa hivyo tutembee kama Kristo alivyotembea,kufanya kama aivyofanya.''Maana
tu kazi yake ,tuliumbwa katka Kristo yesu,tutende matendo mema ambayo tokea
awali. Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo. (Efeso 2:10).katka upendo wa
Kristo tunatafuta kufuata mfano wake,ambayo ni njia ya mkristo.
Miili
yetu ya dhambi haitaki kufanya mapenzi yake.kila waka& hushindana nasi
kumsikiliza shetani na ulimwengu huu soma Warumi saba kuona haya mashindano
ka& yetu au urahisi angalia maisha ya leo mwenyewe.tuna paswa kulisoma neno
la Mungu na kujiuliza kwa ajili ya nguvu ya injili na kumfuata Kristo.Natunatakiwa
kulisoma na kujifunza neno ili tuweze kujua kile kinachompendeza Mungu na jinsi
tupasavyo
kutembea ka&ka matendo mengi. Hebu na tuhusike na mfano mmoja ka&ka
karatasi hii.Kuoa wake wengi-Ni dhambi?au kama aina nyingne
ya
ndoa?
Ndoa
imeelezwa ka&ka maandiko.Ka&ka nadharia yeyote japo kuoa wake wengi ni
dhambi au hapana neno la Mungu lazima litoe shauri.Ni andiko kwamba kumbukumbu
ka&ka taasisi ya ndoa waka& Mungu alimpa Eva kwa Adamu.Ni andiko
linaelezwa jinsi ndoa ingepaswa kuwa. Na ni andiko kwamba linaeleza
jinsi
gani dhambi ilivyo ka&ka ukiukaji wa ndoa .ni Bwana wa uimwengu ambaye
anatuambia kile kilicho sahihi na kile kilicho si sahihi kupi&a neno Lake
safi.Hebu na tumsikilize kwa sababu anajua kile kilicho chema kwa ajilii yetu
na kwa upendo hutuambia ka&ka neno lake kile kilicho mapenzi yake kwa ajili
ya maisha yetu.
Ndoa
si kama desturi ya binadamu uliofika kwa wanadamu.Nii taasisi iliyoamuriwa na
Mungu.Ni Mungu ambaye alikuwa ka&ka Eden akisimamsha ndoa na uhusiano
ka& ya mwanaume na mwanamke waka&
alipompa
Eva kwa Adam.ka&ka siku sita ya umbaji ,Mungu alimuumba Eva kutoka kwa
ubavu wa Adamu.
Alimfanya
Eva kwa Adamu kuwa msaidizi wake.Mungu alisema ka&ka kuanzisha ndoa ''mwanamume
atamwacha baba na mama yake na kuambatana na mke wake na wamekuwa mwili mmoja. (Mwanzo
2:24)kwa kauli hii Mungu anatangaza kwamba mtu mmoja na mwanamke mmoja
wanaunganika pamoja kuanzisha ndoa.kwa mwanaume kuambatana na mke wake ni zaidi
kibinafsi na umoja wa karibu kwa watu wawili.Hili limeidhinishwa na Mungu hivyo
akasema kwamba ''wamekuwa mwili mmoja'' Ni kuyapanua maandiko kusema kwamba
mwanamke mwingine anaweza kufaa ka&ka uhusiano huu wa mume mmoja na
mwanamke mmoja.Tutaangalia kwa kuongeza nguvu kwa vifungu vingine pia.
Bwana wetu alinukuu Mwanzo aliponzungumza
ka&ka Eden.kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba na mama yake na kuungana
na mke wake na hawa wawili watakuwa mmoja.Hivyo si wawiilii tena bali ni mmoja.Hivyo
Mungu aliunga nini pamoja na mtu yeyote asiwatenganishe'' (Mathayo 19:5-6)
Bwana wetu wetu alieeza uhusiana kama wawili wamekuwa mmoja.Kuleta tatu
ka&ka binafsi uhusiano wa karibu huvunja uhusiano wa mmoja na mmoja
.Inawezekana kuvunjwa kwa sababu za bimkubwa,kahaba au wake wengine.Kama kuna
hofu ka&ka fahamu za mmoja kwamba ndoa ni moja jumlisha moja ni moja, Hivyo
tafuta
maoni zaidi ka&ka andiko.ka&ka wakorontho wa kwanza sura ya saba Paul
anaeeza ta&zo la kindoa na mwisho na mwisho mkueleza ndoa ikoje. ''Lakini
kwasababu ya zinaa kila mwananke na awe na mume wake mwenyewe,na kila mwanamke
na awe na mke wake mwenyewe.
Mume
na ampe mkewe halaliyake,na vivyo hivyo mke na ampe mwanaume haki yake.Mke hana
amri juu ya mwili wake,bali mumewe,hivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake
bali mkewe''(1 Wakoritho 7:2-4)Hapa Pauo anaeleza kwamba ''mwili wake''Rejea
hizi zinafuata aina yeyote ya kushirikiana na mke au mume na wengine.Na hilo
kila sheria juu ya mwili wa mwingine ina junuisha kwamba hakuna ushirika.Nii
kugeuza andiko kwa kufikiri kwamba wanawake wawili au zaidi wanaweza kutawala
mwili wa mwanaume mmoja.Jinsi gani wake wa mwanaume kila mmoja kuwa mme wake
mwenyewe?
Andiko ni wazi.Mchanganyiko ni kwa mwanadamu
ambaye anataka hayo kwa ubinafsi wake mwenyewe. Pauo aliwaandikia Wathessalonike
kuhusu jambo hili hili la ndoa.Maana haya ndio mapenzi ya Mungu,Kutakaswa kwenu
muepukane na uwashera&.Kila mmoja wenu ajuwe kuweza mwili ka&ka utaka&fu
na heshima.si ka&ka hali ya tamaa mbaya kama mataifa wasiyomjua Mungu.(1
Wathessalonike
4:3-5)Mke
yeye mwenyewe ka&ka utaka&fu na heshima,wazi hili linaonyesha jinsi
mwanamume anavyopaswa kuwa vifungu hivi na vingine katka agano jipya
vinatuelekeza jinsi ya kuishi katka siku hizi za mwisho hadi Bwana arudipo
tena. Kama tukienenda ka&ka neno lake tumekuwa wanafunzi wakena tutaijua
kweli na kweli hiyo itatuweka huru.kama kwa uoande mwingne tuchaguwe
kubadilisha
maandiko,itakuwa
ni maangamivu yetu wenyewe.(Yohana8:31-32)
Kueeza
sawasawa na Biblia isemavyo kuooa wake wengi ni dhambi.Mpango au mapenzi ya
Mungu ni kwamba mwanamume mmoja kuwa na mwanamke mmoja kama mke wake.
TUNAPINGA REJEA ZA AGANO LA KALE
KUHUSU NDOA ZA WAKE WENGI KATIKA KIHISTORIA KUPUUZA KUOA
WAKE WENGI SIKU HIZI
Imesemwa
na baadhi kuwa kwasababu Daudi au Sulemani alioa wake wengi naweza kuruhusiwa
leo ka&ka ka&ka kanisa,kwanza ya vyote hebu na tukumbuke kama tuivyoona
kwamba Mungu amefafanua kwa wazi kuhusu ndoa kwetu ka&ka vifungu vya agano
jipya.sababu yeyote ya ndoa ya wake wengi ka&ka agano la
kale
taarifa zilichukua sehemu ya simulizi za kihistoria ya Biblia.Kuna matukio
mbalimbali na vitendo vimerekodiwa ka&ka sehemu ya kihistoria ambayo
hatupaswi kujifanya kutooana ingawa Mungu aliyahifadhi.Hajatuambia tuenende
hivyo na kuyafanya.
Sehemu
yasimulizi ya kihistoria haiitumiki kiulimwengu kama mfano kwetu juu ya kufanya
yaliyo ya kweli.Mara nyingi hiyo ni mifano ya jinsi uovu ulivyo fanyika kwa
sababu tu Mungu hakuingilia simulizi na kusema''huu ni uovu''Tusiogope kutumia vifungu
sawasawa vya maandiko ambavyo hutuambia jinsi ya kuishi na kutafisiri sehemu ya
kihistoria. Kwa mfano tunaweza kuwa kwasababu Joel alivuta pini za hema
kupi&a hekalu ya kutotarajia sera( Waamuzi 4:17-22)Hivyo hatupaswi.Amri ya
tano hutuambia ''usiue''Kifungu vya Biblia hutuambia tusidanganye wa kusema
uongo.tusidanganye(Wakolosai 3:9) Au tufanye kiapo kwa kitu kisicho julikana na
kubeba kama jafet alivyo fanya ka&ika kijifunga juu ya bin&
yake?(Waamuzi 11:30-40)Hilo hapana yesu hutuambia na ndiyo yetu iwe ndiyo na
hapana yetu iwe hapana.Au fikiri juu ya Abraham alipomdanganyanya mfalme wa misri
na kwa mfalme wa gerari akasema kwamba sara aikuwa dada yake (Mwanzo 12 na 40)
namaanisha kwamba tunaweza kudanganya?Mungu haruhusu mwingilio wa masimulizi na
kusema kitu fulani ni mbaya.lakini alisema wazi mahali Fulani ni mbaya.
Fulani
ka&ka neno ka&ka Mwanzo 38 Yuda anatambua kwamba Tamari ni mwenye haki
kuliko yeye,sio kwasababu amefanya uzinzi nae lakini ni kwasababu alisema''kwa
sababu si kufanya yeye mwanangu shetani'' (mwanzo 38:26)Nani ka& yetu
asingeweza kusema ingawa kwamba Yuda alifanya dhambi ka&ka kuingia kwake
kufikiri kwamba aikuwa ni kahaba. Ka&ka kuhusika kwa zote hizi za
tabia,mazingira,hatuwezi kusema kwa sababu Daudi au Sulemani walioa wake wengi
kwamba leo labda iliruhuswa.Ni dhambi na kwa wazi zilielezewa kupii&a
vifungu vya neon kwamba unafafanua ndoa.kama tungejifunza kutoka kwa sehemu ya
simulizi ya kihistoria ambapo kuoa wake wengi pametajwa Jifunze kwamba
mata&zo yaliletwa juu ya watu kwa sababu ya kuoa wake wengi.Jifunze jinsi
kwamba ndoa ya wake wengi zilivyo rekodiwa kwa Lameki ambaye alijisifu wake
zake na jinsi alivyokuwa mwovu.(mwanzo 5:23-24)
KIFANYIKE NIN LEO KWA SUALA LLA
KUOA WAKE WENGI?
Kama
mtu ambaye ni wa namna hiyo akitaka kujiunga na kanisa ni lazima ashikilie ndoa
kama ilivyoelezwa kwenye Biblia.Kuwa mshirika wa kanisa letu kibinafsi lazima
kushikilia ukwei wa neno la Mungu na kutafuta kuwa maisha yake yanapatana na
neno na mapenzi ya Mungu. Hitakuwa rahisi kujinasua mwenyewe kutoka katka
mtandao wa kishetani wa kuoa wanawake wengi.lakini hili lazima liwe
lengo.ka&ka mambo mengi ni lazima turuhusu kwamba mke wa kwanza ni wandoa amebeba
heshima ya mke.
Kwasababu
tu anawatoto wanawake wengine hii haimanishi kuwa anaweza kuendelea uhusiano
ambao Biblia haijaruhusu kama ndoa.Anapaswa kubeba nje ya majukumu kwa wanawake
wengine ambao amewachukua kama wake.Jinsi gani alivyo mwenyekuoa wake
wengi,lakini ukaribu wa ndoa lazima ukome kwa wote lakini mke mmoja. Ingawa
atatafuta mume mzuri mkristo kwa mke wake mwingine.labda kwa muda atapanga
kuitenganisha nyumba kwa mke mwingine na watoto. Lakini kwa sababu yeyote kabla
amekuwa ameruhusiwa ka&ka ushirika,nilazima ashikilie ndoa yake nyumbani
kama Mungu alivyoamuru.na tukio lake kwa wote kutangulia kuangalia kama wake
zake na watoto wake kwa wanawake hao lazima lifanyike kwa upendo.Wito huu ni
kwa usawa mzuri wa utakaso Neno ni uhai wa uzima kama hufanya mapenzi ya Mungu.
Anapaswa
ku&wa moyo kuja na kulisikia neno,Mchungaji lazima amtembelee mara kwa mara
kumsaidia kwa vifungu vinavyo faa.Kama ka& ya kusanyiko mwanamume
akimchukua mke wake mwingine,lazima ahusike kulingana na kile Bwana alichosema
ka&ka Mathayo 18.Hii ni lazima ichukuiwe ka&ka u&i kwa neon la
Mungu kuishikiia kwa usafi au uadilifu wa kanisa na kwa uopendo kwa mwenye dhambi.
Hi&misho. Biblia ni wazi.Ndoa imefafanuliwa kama mke mmoja na mme
mmoja.wanashiriki kwa uhusiano wa karibu ambao hauwezi kiuhalali kushiriki na
yeyote mwingine.andiko halijasema tufanye kama Daudi au Sulemani alivyofanya
kuchukua wanawake wengi. Lakini husema kuwa na mume wako mwenyewe na mke wako
mwenyewe.Kuwa sehemu la kusanyiko la Kristo humaanisha kushikilia ukweli wa
neno na kutafuta kuwa na maisha yanayolielekea nene. Mungu aweze kutulinda na
mashambulio ya sumu kutoka na ndani.Aweze kututakasa ka&ka kweli yake.
MAMBO YOTE YATAPITA LAKINI NENO LITASIMAMA. JINA LA BWANA LIBARIKIWE.