Monday, 29 April 2013

HUYU NDIYE BLOGGER WA BLOG HII, KWA SASA ANAENDELEA NA UTARATIBU WA KUWASILIANA NA BAADHI YA MAKAMPUNI KAMA VILE PEPSI, TIGO, VODACOM NA SUMSUNG ILI KUBORESHA PREVIEW YA BLOG HII IKIWA NI PAMOJA NA KUPATA UDHAMINI/KUTOA MATANGAZO YA BIASHARA KUPITIA BLOG HII.


The Voice Watimiza Miaka 19 Ya Kuundwa Kwao

Kundi la The Voice siku ya Jana limetimiza miaka 19 na kurekodi Live DVD katika Kanisa CCT pale chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam.

Katika anniversary hiyo iliyofana siku ya jana The Voice walifana sana na kukonga nyoyo za wahudhuriaji ambao walikuwa wamefurika ndani na nje ya ukumbi.

THE VOICE KAZINI, WAPO KIKAZI ZAIDI.



MA MC WA TUKIO KULIA NI SAM SASALI a.k.a AKIWA KIKAZI ZAIDI