UFAHAMU ULIMWENGU WA ROHO.
Tukiwa hapa duniani, wengi tunaona ulimwengu huu kwa jinsi ya mwili, na mambo mengi yanayoendelea. Wakati mwingine tunaziona na kazi mbalimbali zinazoendelea duniani, na wakati mwingine tunasikia tu, kwa njia ya vyombo vya habari. Maranyingi tumesikia falme zikipigana, na mara nyingine tumesikia habari za mataifa na hata watu mbalimbali wakitafuta maendeleo. Zipo kazi nyingine ambazo hazionekani kwa macho lakini zinafanyika kwa jinsi ya mwili, kwamfano; tunaweza kutumia mtandao wa intaneti, simu, redio na hata vinasa taarifa mbalimbali. Tunaweza kuviongoza vyombo vikubwa kwakutumia kifaa kidogo kama vile vidhibiti vya mbali (remote control). Mambo haya yote hayahitaji imani ili yatokee, maana yamekuwa yetu, bali yanahitaji akili, maarifa na ujuzi.
Kama tunavyouona ulimwengu huu wa mwili, vivyohivyo upo ulimwengu wa kiroho, ambao huwezi kuuongoza kwa jinsi ya mwilini. Huo nao umesheheni kazi nyingi mno ambazo kwa kiasi kikubwa ndio unaoratibu mambo yote yanayotokea kwa jinsi ya rohoni, na yale yanayotokea kwa jinsi ya mwili. Tofauti iliyopo ni kwamba, katika ulimwengu wa roho si kila mtu anaweza kuingia na kufanyanya kazi, zaidi ya hayo ulimwengu wa roho unahitaji imani kama mtaji, ndipo mtu anaweza kufanya kazi (1kor 2:14).
Kama ilivyo kwa ulimwengu wa mwili, vivyohivyo katika ulimwengu wa roho kuna falme, mamlaka, miji, majeshi, malango, ngome, kuta, sheria, na hata vyombo vya maamuzi kama vile; bunge na mahakama. Katika ulimwengu wa roho kuna falme mbili, ambazo ni ufalme wa Mungu na ufalme wa shetani. Hii haimaanishi kuwa shetani anao ufalme unaoweza kushindana na Mungu, bali mwanadamu ndiye anayeshindana na shetani, ili kutetea nafasi aliyopewa na Mungu, kisha akaipoteza.
UFALME WA MUNGU.
Ufalme wa Mungu ulikuwako kabla ya ulimwengu kuwako, hauna mwanzo wala mwisho (Kol 1:17, Mith 8:20-31). Mungu alipoumba mbingu na nchi, alimuumba mwanada kuwa roho inayoishi, akampa mwili kutoka ardhini (Mw 1:26-27, Yoh 3:6, Yoh 1:13, Yoh 4:24, Mwa 2:7, 3:19). Tofauti na viumbe vyote vilivyo katika ulimwengu wa roho, roho ya mwanadamu iliwekwa ndani ya mwili, uliofanyika kutoka udongoni. Hivyo mwanadamu alipewa nafasi ya kuishi katika ulimwengu wa roho, na katika ulimwengu wa mwili kwa wakati mmoja.
Ili kumfanya mwanadamu kuwa mtawala pekee katika dunia, Mungu alitengeneza sheria katika ulimwengu wa roho (Ayub 38:33, Zab 8:5-6). Sheria hizi ndizo zilizoitofautisha nafasi ya mwanadamu katika ulimwengu wa roho, ukilinganisha na malaika na viumbe vingine vyote vilivyopo katika ulimwengu wa roho. Mwanadamu alishirikishwa mamlaka ya Mungu, kwa kupewa nafasi ya kutawala dunia. Hivyo mwanadamu alikuwa, anawakilisha ufalme wa Mungu duniani. Yesu alipokuja duniani, alikuja kutukomboa, na kuturudishia nafasi tuliyokuwa tumepoteza katika ulimwengu wa roho.
UHALISIA WA ULIMWENGU WA ROHO.
Kabla hatujaendelea sana na somo hili, ninapenda ufahamu kuwa, tunapozungumza kuhusu ulimwengu wa roho, tunaweza kugawanya katika makundi makubwa mawili. Kundi la kwanza tutazungumzia kuhusu Mbinguni, ambako Mungu ndiye mfalme pekee wala hakuna mwingine. Kundi la pili tutazungumzia, eneo linalotawala dunia kwa jinsi ya rohoni, maana yake ulimwengu wa roho unaotawala dunia. Katika kitabu cha zaburi anasema, “Mbingu ni mbingu za Bwana, Bali nchi amewapa wanadamu” (Zaburi 115:16).
Dunia inasehemu mbili, ambazo ni ulimwengu wa roho, na ulimwengu wa mwili (Mwanz 1:1-2). Kumbuka hapa hatuzungumzii habari ya anga na ardhi, bali tunazungumza habari ya ulimwengu wa roho unaotawala dunia, na ulimwengu wa mwili. Hapa duniani katika ulimwengu wa roho zipo falme mbili, ambazo ni ufalme wa nuru (Mungu), na ufalme wa giza (shetani). Mungu alimrudisha mwanadamu kwenye nafasi yake, kwa njia ya kifo cha Bwana Yesu pale msalabani. Isaya alitabiri akisema; “Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanamume; na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa Jina Lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.7 Maongeo ya enzi yake na amani Hayatakuwa na mwisho kamwe, Katika kiti cha enzi cha Daudi na ufalme wake; Kuuthibitisha na kuutegemeza Kwa hukumu na kwa haki, Tangu sasa na hata milele. Wivu wa Bwana wa majeshi ndio utakaotenda hayo.
Katika mistari tuliyoisoma hapo juu, ninaweka mkazo katika maneno yafuatayo, angalia neno ‘kwaajili yetu’. Hii inamaanisha kuwa Yesu alizaliwa kama mfalme duniani kwaajili yetu. Mabegani mwake alibeba uweza wa kifalme, ili kuleta ufalme usiokoma duniani. Ninachotaka udake hapa ni kwamba, Yesu alikuja kuuleta ufalme wa Mungu duniani, lakini si katika ulimwengu wa mwili, bali katika ulimwengu wa roho. Hivyo Yesu alizaliwa kama mfalme wa dunia katika ulimwengu wa roho, ndiyo maana anatajwa kuketi katika kiti cha enzi cha daudi. Angalia maneno ya Yesu katika injiri ya Yohana 18:36, anasema; “Yesu akajibu, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu. Kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu, watumishi wangu wangenipigania, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi. Lakini ufalme wangu sio wa hapa.37 Basi Pilato akamwambia, Wewe u mfalme basi? Yesu akajibu, Wewe wasema, kwa kuwa mimi ni mfalme. Mimi nimezaliwa kwa ajili ya haya, na kwa ajili ya haya mimi nalikuja ulimwenguni, ili niishuhudie kweli. Kila aliye wa hiyo kweli hunisikia sauti yangu”.
Ndugu mpendwa, sasa unaelewa kuwa Yesu alikuja ulimwenguni, kuleta ufalme wa Mungu, lakini si kwa jinsi ya mwili, bali katika ulimwengu wa roho (Mwanz 3:15, 49:10, Kumb 18:15, Dan 2:44-45,). Shida haikuwa Mbinguni katika ulimwengu wa roho, bali shida ilitokea duniani katika ulimwengu wa roho. Hivyo Mungu alipoteza nafasi yake duniani kama mfalme, kwasababu mamlaka katika ulimwengu wa roho duniani, ya kuwakilisha ufalme wa Mungu, alipewa mwanadamu. Lakini mwanadamu alidanganywa na kumuasi Mungu, nafasi ya Mungu ndani ya mtu, ilichukuliwa na shetani.
Mwanadamu anapomrudia Mungu, utukufu wa Mungu unateremka duniani katika ulimwengu wa roho. Hivyo utukufu wa Bwana ukitawala dunia, maskani ya Mungu inakuwa pamoja na wanadamu. Ufalme wa Mungu unapokaa duniani, ulimwengu wa roho uliopo Mbinguni na ule uliopo duniani, vinafanya kazi pamoja (Eze 37:27, Yoh 5:17, Efe 2:22, Luk 17:21). Mbinguni na duniani vinapofanya kazi pamoja, mwanadamu anapewa tabia ya Mungu, anafanya kile akitakacho Mungu kifanyike, anachukia kile akichukiacho Mungu. Katika injiri ya Yohana 5:19, anasema; “Mwana hawezi kutenda neno mwenyewe ila lile ambalo amwona Baba analitenda; kwa maana yote ayatendayo yeye, ndiyo ayatendayo Mwana vile vile. 20 Kwa kuwa Baba ampenda Mwana, naye humwonyesha yote ayatendayo mwenyewe; hata na kazi kubwa zaidi kuliko hizo atamwonyesha, ili ninyi mpate kustaajabu.21 Maana kama Baba awafufuavyo wafu na kuwahuisha, vivyo hivyo na Mwana awahuisha wale awatakao”.Pia unaweza kuona katika Maandiko yafuatayo;- Gal 2:20,1Yoh 5:4,1Yoh 3:6,3Yoh1:11,Yoh14:12, 15:4,1Yoh 2:27.

SABABU TANO(5) ZA MTU KUSHINDWA KATIKA MAJARIBU
Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ

Kila mwanadamu kuna
wakati hupitia katika majaribu ya aina mbalimbali katika maisha yake.
Kuna majaribu ambayo huja kwa sababu ya kupungua kwa maombi, kuna
majaribu yanayotokana na hila za watu, kuna majaribu yanayotokana tamaa
ya mtu mwenyewe na pia kuna majaribu kama kipimo cha MUNGU kwa mtu wake
ampendae.
*Swali ni kwanini tunashindwa katika majaribu?
zifuatazo ni sababu 5 za mtu kushindwa katika majaribu na hapa
tunajifunza kwa kupitia mtumishi wa MUNGU Ayubu.
SABABU 5 ZA MTU KUSHINDWA KATIKA JARIBU.
1:Wahudumu wetu katika majaribu.
Ayubu 2:9.''Ndipo mkewe akamwambia, Je! Wewe hata sasa washikamana na
utimilifu wako? Umkufuru Mungu, ukafe''
Hapa mke wa Ayubu ambaye alitakiwa awe ndiye anayemtia moyo mmewe yeye
ndio kwanza alimwambia amkufuru MUNGU ili afe. Na hata leo wapo watu
wengi sana ambao yawezekana uko kwenye jaribu fulani mfano ugonjwa
lakini wao ndio kwanza ushauri wao kwako ni kwamba uende kwa mganga wa
kienyeji ukawekewe jini ili upate nafuu kumbe ndio kabisa wanakupoteza.
Hivyo wahudumu kwenye jaribu wanaweza kabisa wakasababisha ushindwe
katika jaribu fulani hata kama ni dogo.
2:Marafiki tunaoshilikiana nao au wanaotutembelea wakati wa tatizo.
Ayubu 2:12-13''
Basi walipovua macho yao, nao wakali mbali, wasimtambue, wakainua sauti
zao na kulia; kila mmoja akararua joho yake, wakarusha mavumbi juu ya
vichwa vyao kuelekea mbinguni. Kisha wakaketi nchi pamoja naye muda wa
siku saba, mchana na usiku, wala hapana mmoja aliyenena naye neno lo
lote; kwa maana waliona ya kuwa mashaka yake aliyo nayo ni makuu mno.''
Marafiki wakati mwingine wanaweza kuwa kikwazo cha mtu kushinda jaribu
alilonalo na hapa tunajifunza kuhusu marafiki watatu wa ayubu ambao
walikuja kumtembelea na badala ya wao kuwa faraja ndio kwanza walianza
kumshutumu Ayubu kwamba haiwezekani awe hivyo lazima tu kuna dhambi
amefanya na wanamwambia awaambie dhambi aliyofanya ili wamwombee kwa
MUNGU na jaribu lake liishe kumbe wao ndio wakosaji na sio Ayubu.ndugu
ni mara ngapi umepatwa na magumu na marafiki zako kuanza kukushutumu
kwamba haiwezekani MUNGU ayaruhusu hayo kwako ni lazima tu umetenda
dhambi kumbe hata dhambi hukutenda ila ni jaribu tu la kupima imani yako
na baada ya kushinda jaribu hili unapandishwa kutoka utukufu hadi
utukufu. Hivyo marafiki au watu wanaokutembelea wakati wa jaribu
wanaweza kuwa sababu yako ya kushindwa kama ukiamua kuwasikiliza
wakuambiacho. Hapa ayubu hakuwapa nafasi ndio maana alishinda majaribu
hayo.
Unaweza ukajiuliza kati ya Ayubu na wale rafiki zake ni nani alikua na
mashaka? Marafiki zake walikua na mashaka kuliko hata mgonjwa mwenyewe
na kama uko kwenye hali mbaya harafu wazima waliokuzunguka wao ndio
wanalia hata wanashindwa kula hakika watazidisha ugonjwa kwako muhusika
kamili.
3:Kujihesabia haki wakati wa majaribu.
Ayubu 9:2''Kweli najua kuwa ndivyo hivyo; Lakini mtu huwaje mwenye haki
mbele za Mungu?''
usijihesabie haki wakati wa jaribu na pia ndugu waliochini kiroho
usiwasikilize sana wakati wa jaribu maana imani zao ni ndogo hivyo ni
rahisi sana kukukatisha tamaa na kukupelekea uchukue maamuzi mabaya tena
ukiwa karibu kabisa na ushindi wako.
4:Tusijilinganishe sana na wale ambao hawajaribiwi wakati huo. Ayubu
12:4''Mimi ni mtu wa kuchekwa na jirani yake, Ni mtu niliyemwita Mungu,
naye akanijibu; Huyo mwenye haki, aliye mtimilifu, amekuwa ni kicheko''
Ndugu usikubali kujiringanishi na watu ambao hawajaribiwi wakati huo
maana unaweza ukaanza kulalamika na kupelelea kukufuru kwa MUNGU na
kuona kama unaonewa wewe tu huku wengine wakiishi kwa amani na furaha
isipokua wewe tu.
5:Tusiwahusudu wasioamini.
ukiwahusudu wasioamini utakuwa unajipoteza wewe mwenyewe pia ukiwahusudu
wasioamni utakua unaanza kuikataa mbingu.
HAYA YOTE HUPUNGUZA UWEZEKANO WA KUSHINDA MAJARIBU.
MUNGU awabariki sana .
Ni mimi ndugu yako Peter Michael Mabula.