MUIMBA MASHAIRI DADA HUYU ANATISHA
KICHWA CHA SOMO NI MAFANIKIO KWA KUTUMIA AKILI, MUDA NA UBONGO ALIOKUPA MUNGU
NENO KIONGOZI NI HABAKUKI 2: 2, MATHAYO 6: 24, MATENDO 13: 36,ZABURI 82: 8, MWANZO 1:28 NA ZABURI 90.JAMBO LA KWANZA AMEZUNGUMZIA KUONGEZA UWEZO WA UBONGO KWA KUTUMIA MUDA.
Dr. Patrick akiendelea kuhubiri
Akihubiri Dr. Patrick amesisitiza matumizi ya muda huku mtu akiwa anatambua makusudi ya MUNGU na yale ayajuayo yeye mwenyewe. Katika hali ya kawaida Dr. aliongeza kuwa ni jambo la kushangaza ni hili mtu kuwa na uwezo mdogo wa kufanya mambo ili hali MUNGU amempa mwanadamu akili na uwezo mkubwa wa kufikili na kutunza kumbukumbu kuliko hata mashine za kielektronikia.